eBPF DocumentaryWatch Now

Panga kernel kwa uthabiti kwa ajili ya utendakazi bora wa mtandao, uangalizi, ufuatiliaji na usalama

eBPF diagram
  • Programu zimethibitishwa kwamba zinatekelezwa na usalama
  • Ungana na kiini(kernel) popote ndo uwe na uwezo wa kubadishile kazi linalofanya
  • Kompileri(Compiler) cha JIT kwa kasi ya utekelezaji karibu na asilia
  • Ongeza uwezo wa OS wakati wa utekelezaji

Mashirika katika kila tasnia hutumia eBPF katika uzalishaji

  • Google

    Google hutumia eBPF kwa ukaguzi wa usalama, usindikaji wa pakiti, na ufuatiliaji na ukaguzii wa utendaji

  • Netflix

    Netflix hutumia eBPF kwa kiwango kikubwa kwa ufahamu wa mtandao

  • Android

    Android hutumia eBPF kufuatilia na kukagua matumizi ya mtandao, nguvu la tarakilishi, na ufuatiliaji wa kumbukumbu

  • S&P Global

    S&P Global hutumia eBPF kupitia Cilium kwa mtandao katika “Cloud” na kwenye eneo la “Premise”

  • Shopify

    Shopify hutumia eBPF kupitia Falco kwa ugunduzi wa kuingilia

  • Cloudflare

    Cloudflare hutumia eBPF kwa usalama wa mtandao, ufuatiliaji/ukaguzi wa utendezi, na ufuatiliaji/ukaguzi wa mtandao

Masomo zaidi

Kwa nini eBPF?

Ni nini eBPF
  • Utendezi

    eBPF inaboresha sana usindikaji kwa Kompileri cha JIT na kufanya kazi moja kwa moja ndani ya kiini.

  • Usalama

    Programu za eBPF zimehakikishwa kutokwamisha kiini na zinaweza kubadilishwa tu na watumiaji wenye mamlaka.

  • Upanuzi

    Badili au ongeza utendaji na matumizi wa kiini bila kulazimika kuanzisha upya au kuipachika.

premiere

Unlocking the Kernel

The eBPF Documentary provides an in-depth exploration on the origins of eBPF and showcases the stories, challenges, and rewards of this industry changing technology. You will hear from the best and brightest in the open source world, including key stakeholders from Meta, Intel, Isovalent, Google, Red Hat, and Netflix, who helped shape and build the tools that drove the success and adoption of eBPF.

eBPF Documentary Website
eBPF imesababisha kizazi kipya cha zana ambazo huruhusu waendelezaji kubaini na kutatua matatizo kwa urahisi, kubuni haraka, na kuongeza utendaji wa mfumo wa uendeshaji kwa urahisi.
Mark RussinovichChief Technology Officer at Microsoft Azure, 2021

Je, ni nini kinachowezekana na eBPF?

  • Mtandao

    Mtandao

    Kusindika pakiti kwa kasi bila kuacha nafasi katika kiini. Ongeza mchambuzi(parsers) wa itifaki za ziada na programu kwa urahisi mantiki yoyote ya usambazaji ili kukidhi mahitaji yanayobadilika.

  • Ufuatiliaji

    Ufuatiliaji

    Ukusanyaji na umoja wa takwimu za kawaida ndani ya kiini na kuzalisha matukio na miundo ya data kutoka vyanzo vingi iwezekanavyo bila kuhitaji kusafirisha sampuli nje.

  • Ufuatiliaji na Uchambuzi

    Ufuatiliaji na Uchambuzi

    Ambatanisha programu za eBPF na vituo vya ufuatiliaji pamoja na vituo vya uchunguzi vya programu za kiini na watumiaji, kutoa uwezo mkubwa wa kuchunguza na ufahamu wa pekee katika kutatua matatizo ya utendaji wa mfumo.

  • Usalama

    Usalama

    Unakutanisha kuona na kuelewa wito zote za mfumo pamoja na mtazamo wa mtandao wa pakiti na soketi ili kuunda mifumo ya usalama inayofanya kazi kwa muktadha zaidi na kiwango bora cha udhibiti.

Mazungumzo ya Jumuiya ya eBPF